mshahara

  1. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali kumlipa Mshahara kocha wa Taifa Stars

    Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa Soka nchini itamlipa mshahara mwalimu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Adel Amrouche ambaye ni raia...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Feisal kutoheshimu maamuzi ya TFF anaendelea kufanya makosa ya kiufundi yatakayomgharimu wakati Yanga wakiendelea kumlipa mshahara kama mtego

    Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada. Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Pochi tatu za kugawa mshahara wako ili kuweka mipango ya maisha

    Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa. Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi Said: Bado tunamsubiri Fei Toto, tunaendelea kumlipa mshahara

    Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la kuvunja mkataba wake na Yanga. Amesema baada ya hapo wao wanaendelea kumlipa mshahara na stahiki...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Benki ya CRDB wamenikata mshahara pasipo kunipatia mkopo

    Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana. Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

    Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho? Tulinganishe na watumishi mfano wa WCF, NSSF, PSSSF, TRA, TISS bila roho mbaya wala husda, nani anafanya kazi...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida ni bora kuliko mshahara. Mshahara utakufanya uishi tu, lakini faida inaweza kukufanya uwe tajiri

    Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huku viwandani mshahara ni laki na kumi kwa mwezi kama hautaki sepa

    Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani? Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa temporary sales representative NHC ni shilingi ngapi?

    Kuna dogo langu anajitolea mahali flani kwenye kampuni ya waturuki,wanampa laki 5 kwa mwezi ambayo haina makato yoyote yale.kaniomba ushauri aende kwenye interview ya hawa nhc huko Daslamu au apotezee? Nafasi aliyoitiwa huko nhc ni temporary sales representative, so anataka kujua huko nhc kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania 750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life. Maana usikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Ni wakati wa kuongezwa kwa mshahara ya watumishi

    Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
  17. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Yapi ya kufanya na kutofanya wakati mnajadili malipo ya mshahara

    Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar. Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi

    Hi, Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira. Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kibu Dennis Vs Muzzamiru Yassin

    Habari wakuu, Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
Back
Top Bottom