Feisal kutoheshimu maamuzi ya TFF anaendelea kufanya makosa ya kiufundi yatakayomgharimu wakati Yanga wakiendelea kumlipa mshahara kama mtego

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada.

Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia busara na kucheza kiufundi zaidi.

TFF ilimlazimu kurejea mazoezini kwa kusema kuwa "Mamlaka ya soka nchini inamtambua kama mchezaji halali wa Yanga".

Yes Fei alitakiwa aendelee kupambania haki yake lakini alitakiwa atii kwanza maagizo ya mamlaka ya soka nchini ya kurejea klabuni.

Klabu inamlipa mshahara kuepuka na kukwepa kipengele cha kutomlipa mshahara wake waliosaini na kukubaliana kimkataba.

Fei anapaswa kutambua kuna kushinda ama kushindwa hata akienda CAS , je amejiandaa vipi na kushindwa sababu Yanga wamekaa vizuri katia Win win situation, hata kama Fei akishinda kesi wao haitawaumiza sana.

Let say Fei ameamua kwenda CAS akashundwa, unategemea Yanga watamfungulia madai mangapi?.. Kitendo cha kugomea kufanya kazi kwa mwaka 1.5 adhabu yake huko CAS itakuwa nini?

Feisal anapaswa kuwa makini hapa kwenye mitego hii ambayo inareflect future outcomes sababu Yanga wamekaa safe side kwa kuendelea kumlipa mshahara. Yeye Je?
 
Akibakia pia mwisho wake huu
IMG_7853.jpg
 
Mtego gani ambao Yanga Sc wanaufanya kwa kumlipa Fei mshahara?

Hebu tuelekeze hapo kwanza..

Kwangu, huo mshahara Yanga Sc wanamlipa Fei kama kumtongoza, sababu wanajua wao ndio waliokosea wakabebwa na TFF kwenye yale maamuzi, ambapo TFF walitoa hukumu bila kuonesha Fei aliwakosea wapi utopolo, au niseme alivunja sheria ipi kwenye mkataba wake na Yanga, ajabu wewe unakuja hapa na story zisizoeleweka.
 
  • Thanks
Reactions: xox

Matahaira ni wengi sana nchi hii, na wewe una familia inakutegemea? Inawezekana katika wale washauri wa feisal na wewe ni mmoja wao, basi mwambie aendelee kushupaza shingo tuone mwisho wake utakuwaje
 
Mtego gani ambao Yanga Sc wanaufanya kwa kumlipa Fei mshahara?

Hebu tuelekeze hapo kwanza..

Kwangu, huo mshahara Yanga Sc wanamlipa Fei kama kumtongoza, sababu wanajua wao ndio waliokosea wakabebwa na TFF kwenye yale maamuzi, ambapo TFF walitoa hukumu bila kuonesha Fei aliwakosea wapi utopolo, au niseme alivunja sheria ipi kwenye mkataba wake na Yanga, ajabu wewe unakuja hapa na story zisizoeleweka.
magufuli said "Aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana katika taifa"
 
Mtego gani ambao Yanga Sc wanaufanya kwa kumlipa Fei mshahara?

Hebu tuelekeze hapo kwanza..

Kwangu, huo mshahara Yanga Sc wanamlipa Fei kama kumtongoza, sababu wanajua wao ndio waliokosea wakabebwa na TFF kwenye yale maamuzi, ambapo TFF walitoa hukumu bila kuonesha Fei aliwakosea wapi utopolo, au niseme alivunja sheria ipi kwenye mkataba wake na Yanga, ajabu wewe unakuja hapa na story zisizoeleweka.
ukoo wenu una hasara sana kuwa na mtu kama wewe! taasisi kulipa mishahara wafankazi wake ni kuwatongoza? TFF wanaesema Feisal ni mchezaji halali wa Yanga ulitaka asilipwe?
 
Back
Top Bottom