Huku viwandani mshahara ni laki na kumi kwa mwezi kama hautaki sepa

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani?

Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.

6D4C3A67-B7CE-4873-BE91-63F53C3C8295.jpeg
 
Serikali ndo inatakiwa kuweka viwango vya mishahara na posho kwenye sekta za umma na binafasi, na kunatakiwa kuwepo na mamlaka inayoweka kanuni na kudhibiti. Mfano viwango vya kubeba box kwa lisaa nchi zilizoendelea ambavyo ni kati ya dola 20 na dola 50 kutegemea na sekta vinakuwa determined na mamlaka husika, mtu hawezi kukurupuka tu kuwalipa watu viwango duni anavyojisikia.....
 
Ndugu zangu hivi vima vya mishahara huku sekta binafsi anayepanga ni nani?

Au ndio kusema Watanzania tumetelekezwa? Viwandani wanakulipa kidogo sana, 110,000 kwa mwezi kazi ngumu, masimango aiseeh inatisha.

View attachment 2486436
hiyo ndio kazi ya ccm walisha sema heti mtanzania akiajiriwa mshara wake kwa mwezi ukawa 300,000/ ajiona bwana mkubwa
 
Back
Top Bottom