mshahara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Ni wakati wa kuongezwa kwa mshahara ya watumishi

    Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Yapi ya kufanya na kutofanya wakati mnajadili malipo ya mshahara

    Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar. Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi

    Hi, Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira. Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kibu Dennis Vs Muzzamiru Yassin

    Habari wakuu, Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Wachezaji walipwe vizuri sambamba na elimu ya kifedha

    Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu. Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na wala sina tatizo na Mtu kupigania haki yake ya kulipwa vizuri na ikiwezekana alipwe vizuri kwa kadri...
  7. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kumbe Makambo anamzidi Feisal Toto mshahara

    Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

    Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini. Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji afuta Bonus ya mshahara wa mwisho wa mwaka kwa wafanyakazi

    Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee. Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

    Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  13. Rangooo

    JamiiForums Tanzania TSG 10 ni kiasi gani cha mshahara?

    Habari, naomba kufaham kwa mwenye kujua TSG10 NI kiasi gani cha mshahara, asanteni
  14. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

    Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya. Mwigulu hebu jitafakari
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

    Jamani hivyo vihela vyenu vya November vimetoka? Am serious!!
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano. Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
  17. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  19. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Dhambi Ni kazi Kama kazi zingine na mshahara wake Ni mauti

    Warumi 6:23 “Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.” Shalom Mtu wa Mungu karibu tujifunze Maneno ya Mungu wetu, kama wengi wetu tunavyojua hakuna maisha nje ya Yesu Kristo, yeye pekee ndio sababu ya sisi kuendelea kuishi leo...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Kocha wa timu ya taifa hajalipwa mshahara miezi 6

    Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163). Chini ya Sheria za sasa za FIFA, Peseiro ambaye ni kocha wa zamani wa Saudi Arabia na Venezuela anaweza kusitisha...
Back
Top Bottom