Mshahara wa temporary sales representative NHC ni shilingi ngapi?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Kuna dogo langu anajitolea mahali flani kwenye kampuni ya waturuki,wanampa laki 5 kwa mwezi ambayo haina makato yoyote yale.kaniomba ushauri aende kwenye interview ya hawa nhc huko Daslamu au apotezee?

Nafasi aliyoitiwa huko nhc ni temporary sales representative, so anataka kujua huko nhc kwa nafasi tajwa wanalipa kias gani na ni kazi ya muda gani?

Kwa wenye kuelewa chochote kuhusu ajira za hawa nhc,maslahi yao na mambo mengine karibuni.
 
Kabla haja ondoka hapo anifanyie kwa waturuki anipe mbili tatu za hapo ili akiondoka nijue naendaje.
Then kama yupo anipe maelezo ya mimi kuja hapo kama kuna kaupenyo cha kujitolea mana hyo hela n salary kbsa.

Nmesomea BBA In marketing kama nafuta volunteer kama hizo zenye maslahi japo nikae kwa 6 months tu ya kujengaCV
 
Back
Top Bottom