Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,159
Hello,

Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.

Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi wote tupate mshahara lakini kimya. Mwezi uliopita tulipata tarehe 26 sijui 25.

Kuna nini hapa kati? Je, hii iwe kama alarm kwa watumishi kwamba lolote linaweza kutokea mbele yao? Pay Master ni mpya anajitahidi amudu mazingira au kapu liko na changamoto? Hii mada haihusiani na majibu ya tafuta kazi nyingine nje ya kazi.

Nina shughuli zangu hivyo pesa ya kula si shida kivile. Maana watakuja watu eeeh leo tu unaanza kulalamika
 
Hello
Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23.
Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.
Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi wote tupate mshahara lakini kimya.
Mwezi uliopita tulipata tarehe 26 sijui 25 .
Kuna nini hapa kati?
Je, hii iwe kama alarm kwa watumishi kwamba lolote linaweza kutokea mbele yao?
Pay Master ni mpya anajitahidi amudu mazingira au kapu liko na changamoto?
Hii mada haihusiani na majibu ya tafuta kazi nyingine nje ya kazi.
Nina shughuli zangu hivyo pesa ya kula si shida kivile.
Maana watakuja watu eeeh leo tu unaanza kulalamika
Mnaandaliwa kisaikolojia ipo siku mtavushwa kavu
 
Back
Top Bottom