Naweza kubadili kozi niliyopangiwa?

Naweza kubadili kozi niliyopangiwa?

Unaruhusiwa kubadilisha kupitia nacte/or-tamisemi ingia... Nenda kwenye selection uliopangiwa kwa kupitia namba yako ya mtihani .

NB: utaletewa vyuo na fani nyingine unazoweza kuzisoma kulingana na matokeo yako ya NECTA .

Zoezi hili huwa na muda maalumu, sio zoezi endevu.

Ukishindwa njoo na pesa ya MB chapu[emoji23]
 
Sawa na je nkifika chuon hili zoez Hali wez kufanyika
 
Itategemea na intake ya chuo husika . Kama idadi ya wanafunzi watajitosheleza , kila mtu itabidi apambane na fani yake. Kutoka O-LEVEL ni complicated kuliko wanaotokea ADVANCE.... Haswa kwako wewe ambae umepata ufadhili wa serikali..

UTAPIGWA TUKIO , ukose huo ufadhili.

Kinyume na hapo ukifika chuo kapenyeze rupia kwa Cordinator na Academician.
 
Oky Sawa nmekuelewa kaka
 
samahani unaulza hv unauelewa juu ya mining engineering diploma kwa soko la ajira
 
Back
Top Bottom