Mi Cielo
Member
- Oct 27, 2018
- 10
- 15
Habari zenu ma Dr. natumai mu wazima wa afya.
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada, ni kwa muda wa miaka miwili na kitu sasa nimekua nikisumbuliwa na vipele ambavyo vinatokea ukeni kila nikikaribia perio, hivi vipele vinaanza kama blisters (ni sawa na vile vidonda vya homa vinavyotokeaga mdomoni) then vinakuja vinapasuka vinakua kama kidonda napaka acylovir cream baada ya muda vinapotea narudi kawaida mpaka nikikaribia tena period vinarudi tena vinafanya tu kubadili location.
Mara ya kwanza vinanitokea vilitokeaga kwa kasi sana yani kila baada ya masaa flani unaskia kamuwasho mara kipele kimeshatutusuka hapo nilikua kwenye mahusiano mapya, na sijawahi pata hii kitu huko nyuma niliuekuwa naye akaniuliza kama nimewahi pata nikasema hapana ila baadaye ye ndo akaja kusema ye alishawahig kutokewa na hivo vipele ila vilipotea nikajisemea tu baaasi ndo hapa nimepata.
Kuna Dr. Nilikua na mawasiliano yake ikabidi nipige picha nimtumie maana nilikua mbali akaniambia hiyo ni herpes tumia dawa flani kwa siku flani ila ukipona kapime kaswende, nikatumia zile dawa nikawa sawa vikapotea vyote ila toka hapo ikawa ni kujirudia rudia kila mwezi nikawa narudia dawa zile zile ila badae nikawa situmii dawa tena napaka tu cream.
Ila nimeshachoka hii kitu mpaka na nilishajaribu kui google ni kitu haina tiba sema inapoa tu na kuja kuibuka tena, ila hii ya kunipata kila nikikaribia period ndo nachooka, nifanye nini ili kupunguza herpes reccurent ?
Nilishawahi kwenda hospitali vilikua kipindi hicho vimetokea vingi sana upande mmoja wa shavu la uke, nikaangaliwa nikaambiwa nipime vipimo viwili, kimoja cha damu kingine sikumbuki vizuri ila kilikua ghali nikaomba nipimwe tu hicho ninachomudu kwanza majibu yakaja Dr. Akasema ooh cells zako haziko normal zinasoma 27 wakati normal kwa mwanamke ni 10-15 (sikumbuk vizuri) nikapewa dozi ya kumeza mwezi mzima ila hali ikawa ileile hakukuwa na mabadiliko.
Yule aloniambiaga ni herpes mwanzo alishaniambiaga haina tiba nijitahidi tu kula matunda ya vitamin A.
Upande wa mahusiano aloniambukiza tulisha achana muda.
Hiyo picha ni jinsi vinavyoanza mpaka vinavoishilia.