Msaada wa Kufanya configurations ya Modem

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,637
6,545
Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET

Sasa nataka kuconnect na laptop yangu

Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi

Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.

IMG-20240516-WA0010.jpeg
 
Hiyo Mifi inatoa access ya Wifi na pia inatoa access ya Ethernet inategemea wewe unatakaje
 
Nyuma huko kuna password na ssid ya hyo network tumia ku connect na wifi ya kifaa chako

Jwa usb tethering ingia this pc
Baada ya local dsk c: kuna hyo ipo hapo hyo mifi inaweza ikawa na letter d: au e: double click then fanya installation kwa kufata utaratbu then baada ya hapo itqconnect yenyew
Haitakuwa na haja ya kurudia process ni one time only
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom