msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria

    Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria. Kwa sasa teknolojia imekuwa na mambo yamebadilika sana. SWALI: Je? Kuna uwezekano wa kupata leseni ya kubeba abiria toka CHANIKA(Dar) mpaka MARANGU MTONI? (MOshi) Yaani nakula vichwa mdogomdogo panda shusha,huku...
  2. JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuomba msaada; Kwangu kukwama si jambo la kawaida

    Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya mwisho kabisa, na huwa najitahidi nisiifikie. Kwa sababu hiyo, nimejifunza kuishi kwa mipango...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya asili au dukani inayotibu jicho sugu

    Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada Ajira portal

    salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada, natumia Sony Xperia inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini? Msaada. Natumia Sony Xperia, Model SOG08, Android 13. Nikifungua app yoyote, inakuja Chrome. Nikifungua app ya SMS, inakuja Chrome. Nikifungua app ya muziki, inakuja Chrome. Nifanyeje ili iwe kama zamani? Kwamba nikifungua app ya SMS nisome ujumbe, au nikifungua app yoyote ije...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ai yawa msaada kwa wanafunzi wenye usikivu hafifu wanaopata shida kujifunza darasani, group discussions, videos, voice notes, n.k.

    Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu. Wanafunzi...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira, Vyuo, Mikopo na Nyaraka Mbalimbali

    MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE πŸ”“ π™Ίπš„π™΅πš„π™½π™Άπš„π™° π™°π™²π™²π™Ύπš„π™½πšƒ πšˆπ™° π™°π™Ήπ™Έπšπ™° π™Ώπ™Ύπšπšƒπ™°π™» & πš„πš‚π™·π™°πš„πšπ™Έ π™Ίπš„π™·πš„πš‚πš„ π™°π™Ήπ™Έπšπ™° π™Ώπ™Ύπšπšƒπ™°π™» πŸ’«Maombi ya Vyuo ( Degree,Diploma & certificate) πŸ’«Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, nimeachiwa jungu la pilau kwenye jiko la kuni

    Guys, msaada wa haraka nipo njia panda, ishu iko hivi nimealikwa na jirani yangu mtoto wake amepata ubatizo sijui kumunio hata sielewi, nikasema ngoja nijichanganye na majirani zangu hawa ndio kimbilio langu la kwanza, Sasa kama kawaida wanawake tumefika mapema kama kuna vikazi vidogo vidogo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Kwa Yoyote aliekwama kupata Award Verification Number (AVN) number βœ… Anitext kwa 0622569980 Ni Bure na Kuelekeza tuu siiitaji hata mia mbovu . PIA wengine tunajua mambo ya application za Vyuo Tuwasaidie WENZETU
  11. JamiiForums Tanzania Ukimsaidia mtu huku unatarajia akulipe baadae hilo linakuwa deal na sio msaada tena

    "Msaada" dhidi ya "biashara" (ama mabadilishano). Mstari kati ya vitu hivi viwili mara nyingi umekuwa ukijipinda kwenye jamii, lakini ukiutazama kwa jicho la kimaadili na kisaikolojia, tofauti yake iko wazi sana. 1. Msaada Halisi (Altruism) Msaada wa kweli unatoka moyoni na kigezo chake kuu ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu wateja wa dagaa na samaki

    Wakuu kwema habari zenu vipi Poleni sana na majukumu wakuu, Ndugu yenu mdau wa Jamiiforum nakufa njaa nimeazisha Uzi wa dagaa na samaki mnipatie kazi niwatafutie lakini Naona kimya sana wakuu, Mimi ndo nimeanza Sina mtaji nimeamua kujiajiri ziwani kwa kuwatafutia samaki na dagaa, Ili...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye joining instruction ya mbeya college kwa kozi ya diagnostic radiology naomba

    Msaada kama kichwa hapo juu kinavyojieleza asante
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada kupata hizi nyimbo

    Habari wakuu nina shid sana na Nyimbo za Franco FRANCO RUAMBO LUANZO MAKIADI Nyimbo za Madilu mult sytem Asanteni sana. Natanguliza Shukran Nyingi.
  15. JamiiForums Tanzania MSAADA wa picha nilio post nikiwa na mpenzi wangu mzanzibari

    Jamani kina member ana hiyo picha nimepiga nikiwa na mpenzi wangu wa miaka hiyo mzenji tafadhali NAOMBA alie nayo anipatie nilijisahau nikafuta baadhi ya documents nika futa na hiyo tafadhali nipate msaada member alie nayo anipatie ni kumbukumbu zilizo Baki kwenye maisha yangu. Siku hiyo...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaoomba vyuo na mikopo

    Kama una changamoto ya kuomba vyuo au mkopo tuwasiliane kwa 0623446608 Kumbuka:Si kwaajili ya fedha ni kwaajili ya kukusaidia IKIWA tofauti screen shot mawasiliano yetu na jina langu halisi (tukiwasiliana utalijua) ulete hapa or whatever.Nafanya ivi kwasababu ni changamoto kubwa inayofanya...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

    Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata kupika nizijue survival skills Muda huo heri ningejifunzaga kunyoa nijifunze mbinu za kujiingizi kipato
  19. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya AIRTM

    Husika na kichwa cha habari hapo juu hivi kutoa hela zilizoko kwenye acc ya airtm ni lazima majina uliyosajilia line zifanane na zilizoko kwenye acc ya airtm.. Mfano kwenye lain ya simu jina linasoma musa jumbe na majina kwenye acc ya airtm yanasoma abdala hamza.? Ni lazima zifanane.?
  20. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…