Msaada, natumia Sony Xperia inanisumbua, nifanyaje?

Msaada, natumia Sony Xperia inanisumbua, nifanyaje?

COLTAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
343
Reaction score
314
Habarini?

Msaada. Natumia Sony Xperia, Model SOG08, Android 13.

Nikifungua app yoyote, inakuja Chrome. Nikifungua app ya SMS, inakuja Chrome. Nikifungua app ya muziki, inakuja Chrome.

Nifanyeje ili iwe kama zamani? Kwamba nikifungua app ya SMS nisome ujumbe, au nikifungua app yoyote ije sehemu husika na si Chrome.

Ahsante.
 
Jaribu kwenda settings kisha apps then tafuta app unayotaka fungua kupitia hapo. Kama inafunguka pengine launcher inazingua, Tumia menu hio hio kubadili launcher eka ya docomo ama ya Sony etc. kama huna launcher ya kubadili sideload na adb
 
Back
Top Bottom