Ni 2 : 40Am nimemuona niliamka alikaa karibu na jiko Mimi muoga vibaya naombeni msaada nitumie njian gani kumtoa Alafu haonekani na nipo kitandani sijashuka nimeshusha na net kabisa
Msaada je ningoje had Asubuh au nifanyaje humu ndani na ndani vitu vingi sijapanga vipo hovyo hovyo
Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa.
Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Wadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa anaefahamu issue kama hii anisaidie mawazoo...
Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL
Nimepewa orodha ya vitabu.
Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano?
Habarini wakuu
Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka.
Kama kuna anayejua sehemu salama ya...
Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu kunisapoti Asanteni...
Habari zenu tafadhali husika na hiyo mada, hofu imenitawala sana kiasi ambacho hata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hospitali?
NB: Nilimpoteza kaka yangu mwaka ulopita hivyo...
Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa.
Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D
MATH.....F
Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
Habari wana Jamii Forums,
Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako.
Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000/= , natanguliza shukran.
Salamu wakuu,
Straight to the point, naomba msaada wakuu gari yangu (automatic) ina changamoto ya kuwakia kwenye Gia. Yani gear lever inaweza kua kwenye D au R lakini ukipiga stata ngoma inawaka bila shida. Changamoto itakua ni nini? Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.