msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gwajimanize

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa Softcopy ya Manifesto ya Ccm 2025-2030

    Wakuu Msaada wa Manifesto ya Chama ya CCM 2025-2030 msaada wa softcopy
  2. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wapi naweza kupata Star Anise

    Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
  3. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuna uzi nautafuta

    Habari, ahsante kwa kufungua uzi huu. Kuna uzi nautafuta niliusoma mwaka jana mwishoni, simkumbuki muandishi wala kichwa cha Habari. Uzi ulikuwa unahusu mishe ya jamaa fulani kupokea wageni kutoka nje (foreigners), kuwapeleka kwenye hotel fulani sambamba na kuplay kama mwenyeji wao kisha yeye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada madaktar majibu yangu Urine na blood juu renal function ktk mnh na maabala binafs metropolis

    Habar wakuu naomba mnichambulie juu ya hii renal function na urine,,Sasa ktk urine Kuna protein 1+,ila ktk maabala binafsi siku nyuma urine haikuonekana shida naambatanisha na majibu ya sehemu zote tatu
  5. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio endesha Toyota fortuner msaada..

    Habari za jioni wana magari,, naombeni mnipe experience kwa wale walio wahi kuendesha Toyota fortuner,, stability yake ikoje ikiwa kwenye speed 100 na kuendelea,,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la mizani aina yote

    Habar wakuu nauliza kwa anaejua chimbo la mizani aina yote atoe muongozo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  8. cold water

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa anayefaham kutengeneza website

    Jamani kama Kuna IT anaweza mambo ya mifumo vizuri,naomba msaada Kuna web nataka nianzishe sijui pakuanzia naomba anicheki Dm nitajieza vizuri, na Kwa upana zaidi Asante.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naamini mda umefika wa kupata msaada wa kifikra kutoka Kenya ili tujielewe sisi ni kina nani?

    Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere, Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kilimo cha abanora (pilipili mwendokasi)

    Habari zenu wadau, Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then ilipokuja mvua ziaanza kutoa pilipili kiasi lakini kipindi chote sijaiweka dawa wala mbolea zaidi ya...
  11. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania We member Marry Diana kama unataka msaada wa kipesa,kimawqzo,mtaji au mume mtafute tajiri wa kusini jamaa ni very gentleman

    Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
  12. Ibn Abdillah6

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Habari zenu ndugu zangu nahitaji kujua, Hivi mkojo uliokaa zaidi ya masaa manne haufai kutumia kupima mimba? Maana mchumba angu amenipa kwa chupa nikapime, sasa kipimo kinasoma hivyo ndugu zangu.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Amemaliza Diploma ya IT aendelee Degree au VETA!??

    Msaada wa ushauri wenu wakuu, mtu aliemaliza diploma ya miaka mitatu IT ni bora aende degree kuendelea kusoma au aende VETA kujifunza ujuzi mwingine?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Diploma ya IT ni vema kwenda Degree au VETA?

    Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
  15. R

    JamiiForums Tanzania China ilipeleka msaada Gaza ikiusindikiza na ndege 6 za kijeshi

    Kwanini hizi taarifa hazitangazwi kwenye vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi? Check video ina maelezo ya kiswahili
  16. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Msaada, Tatizo la low voltage

    Habari Wanabodi! Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama wiki tatu zilizopita niliunganishiwa umeme na TANESCO, ila kumekuwa na tatizo la low voltage hasa kuanzia saa moja usiku hadi saa tano au sita usiku ndiyo unalejea kwenye voltage ya kawaida. Nyumba ilikuwa na wire ring imekaa muda mrefu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana, Lakini inaandika hivi
  18. K

    JamiiForums Tanzania Martha Karua ni nani?

    Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya. Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
  19. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yapokea msaada wa endoscope kutoka Cure International

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea msaada wa darubini ya kisasa 'endoscope' ya upasuaji wa ubongo na mgongo kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Cure International Limited, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za afya katika taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Msaada biashara ya Mchele

    Msaada bei ya Mchele grade 1 mbeya unauzwaje
Back
Top Bottom