Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
Wapwa Msaada huu ni Ugonjwa unasababishwa na nini?
Nafikiri itakuwa MPOX
DuuMafunza A K A mafinyofinyoo 🤧
Zamani kidogo hawa wadudu wwlisumbua sana baadhi ya mikoa nchini.
Mbegu za hawa wadudu ni wale chawa wanaokua wamejishikiza kwenye macho ya kuku. Kuna rafikiangu wa utotoni aliliwa na hawa wadudu hadi makalioni
Hii Kenya wapo wengiNi juga hao,, we ni Mtoto wa 2000, ni ngumu kuwa tambua.. 🙂 🙂
Hao funza bhana wamehamia mkononi
Hata wanadamu wa 2000 wanawajua... Wanaitwa wadudu wa kiangazi.Ni juga hao,, we ni Mtoto wa 2000, ni ngumu kuwa tambua.. 🙂 🙂
Hiyo siyo mpox bhana.Nafikiri itakuwa MPOX
Mungu atuepusheHata wanadamu wa 2000 wanawajua... Wanaitwa wadudu wa kiangazi.
Inachangiwa pia na uzembe wa mliwaji sababu inatakiwa hawa chawa wakikuingia tu uwahi kuwatoa kabla hawajakufanya kilema.
Nimeona watu wazima wawili wakifa kwa huu ugonjwa
Yani mtu mpaka upatwe na huu ugonjwa seriously uwe kiwete wa akili kabisa.Hata wanadamu wa 2000 wanawajua... Wanaitwa wadudu wa kiangazi.
Inachangiwa pia na uzembe wa mliwaji sababu inatakiwa hawa chawa wakikuingia tu uwahi kuwatoa kabla hawajakufanya kilema.
Nimeona watu wazima wawili wakifa kwa huu ugonjwa
Hawana madhara ukiwawahi kila wanapokuingia sehemu inatakiwa uwahi kuwatoa sababu vinawasha na vinaonekana... Mara nyingi hawa wadudu wanaharibu watoto wa wazazi wazembeMungu atuepushe
Personal hygiene ni changamoto hapo, au kama sehemu/eneo kuna ufugaji wa nguruwe kwa sana wadudu huwa ni kama mafuriko..Hii Kenya wapo wengi
. Yeah wanaua au kuwa kilema baadhi ya maeneo ya mwili..Hata wanadamu wa 2000 wanawajua... Wanaitwa wadudu wa kiangazi.
Inachangiwa pia na uzembe wa mliwaji sababu inatakiwa hawa chawa wakikuingia tu uwahi kuwatoa kabla hawajakufanya kilema.
Nimeona watu wazima wawili wakifa kwa huu ugonjwa
Kwa kifupi sio hata ugonjwa bali ni wadudu wanaopenda ngozi kavu kuanzia pembeni ya nyayo, na ukiwazembea wanakuja kwenye vidole vya mkononi, magotini na kwenye makalio.Yani mtu mpaka upatwe na huu ugonjwa seriously uwe kiwete wa akili kabisa.