Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo Halmashauri kada ya Elimu ,