msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bado natafuta

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Vitabu vya cryptocurrency.

    Habari wanajamvi, wakubwa shikamoni. Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
  2. innocentmark

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
  4. Lady Ra

    JamiiForums Tanzania Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

    Za weekend wandugu? Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko. Sasa muongozo wenu naomba...
  5. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Utaratibu wa kufungua kesi ya madai.

    Samahani wakuu naomba kueleweshwa nilifunguliwa kesi Kuhusu mirathi, kesi ya madai kuanzia mahakama ya mwanzo nikashinda, mdai akakata rufaa mahakama ya wilaya Napo akashindwa, akakata rufaa mahakama kuu, pia akashindwa. Katika hukumu mahakama zote iliamriwa nilipwe gharama, lakini sikuweza...
  6. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi kwa kupata cover bora za computer kwa DSM

    naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
  7. zigi 01

    JamiiForums Tanzania MSAADA

    Naomba msaada wa mawasiliano kwa mwanafunzi anayesoma ST JOSEPH UNIVERSITY OF TANZANIA kwa kozi ya computer science, anicheki dm kuna kitu naomba anisaidie Natanguliza shukrani
  8. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhalini wapenzi wa soka na mpira kwa ujumla

    Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi. Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
  9. memory card

    JamiiForums Tanzania Msasda jinsi ya kuunganisha UPS na desktop

    Nina SMART UPS C (APC) Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye uzoefu anipe madini wakuu
  10. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

    Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru. Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi...
  11. hungary

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi. Elimu diploma ya clinical medicine

    Husika na heading hapo juu Elimu diploma ya clinical medicine GPA ya 5.0 Kazi anazo weza kufanya 1. Kutibu wagonjwa both symptomatically and clinically 2. Kufundisha masomo ambayo anayoweza kufundisha . Patient care . Reproductive and chilid health RCH . Biology ...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
  13. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  14. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

    Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam. Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
  16. Elsa Marie

    JamiiForums Tanzania Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

    Ipo hivi. Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki. Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho. Msaada tafadhali...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu kaingia katika dhamana ya nyumba kwa makubaliano ya 10% – Hali ya deni la mkopo la Mteja Inavyomsumbua"

    Habari zenu wakubwa, Naomba ushauri na msaada mzee wangu alimdhamin mtu hasa akaweka dhamana ya nyumba yake kisa alirubunia atapewa 10%...huyo mtu alienda bank kwaajili ya kupewa mkopo bank wakamwambia hatuwezi kukupa Hela bila dhamana ya nyumba yule mteja ndo wakamkutanisha mzee kupitia...
  18. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ofisi inayohusika na jambo hili

    Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana, Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
  19. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wana jamii swali la hesabu

    Can you prove that 4+2=5+1 is true without solving both sides? Explain.
  20. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa software

    Wakuu naomba msaada wa software ya Nitro pro Na APK ya WPS premium Ahsante
Back
Top Bottom