msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
  2. immortanity

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku quote several sentences na kuzijibu

    Imenitoka kidogo naomba mwongozo
  4. KJ07

    JamiiForums Tanzania Msaada wa MEXT SCHOLARSHIP APPLICATION ya JAPAN

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa. Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha. Asante.
  5. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Msaada! Tools za Kudownload videos

    Wataalam Wakuu. Natumia browser ya Google chrome, ila napata ugumu Kudownload video za YouTube. Nipetumia extension kadhaa ila hazifanyi kazi. Je, kwa sasa ni hipi browser mzuri mbadala wa Torch iliyopigwa pin? Wasalaam.
  6. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  7. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Msaada Katika Samsung A15

    Habarini. Natumia Samsung A15 Nikimpigia MTU Mimi Nina Msikia Ila yeye hanisikii nifanyeje? Ili aweze kinisikia nitakae mpigia?
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  9. jaap

    JamiiForums Tanzania Msaada jino maumivu ya jino

    Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .
  10. wete

    JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa watumiaji wa iPhone

    Mnaotumia iPhones mnafanyaje kudownload nyimbo bila kuzinunua na ku save kwenye sim zenu na kusikiliza muda wowote pale mnapojiskia? Kama inavyofahamika kwamba iPhone vitu vingi huwezi download bila kununua. Naomba msaada
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa nikifikiria kuanzisha Project ya utengenezaji wa Bahasha za kaki (Vifungashio)

    Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio. Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa. Naomba kwa amabae...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  16. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua akaunti kwa ajili ya kudownload games za ps4

    Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
  17. The Great Haya

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

    Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
  18. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba yake ilipotea

    Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea. Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
  19. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania WAJUVI NA WATAALAMU WOTE NAOMBENI MSAADA HAYA NI MAWE YA AINA GANI?

    Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
  20. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Dkt Mollel ni msaada mkubwa kwangu, anaitendea haki Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
Back
Top Bottom