Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa.
Natanguliza Shukran 🙏
Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi.
Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati yangu kwenye gurudumu hili la utumishi kama wengine walivyojaribu.
Nimekuja mbele yenu kuomba...
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement
============
Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
Habari wana JF. niende straight kwenye mada. Nina kiwanja kina ukubwa wa sqmtr 405 maeneo ya mbezi beach goig upande wa juu. Ndani ya kiwanja kuna nyumba la zamani au niseme ni gofu sasa nilikua nataka kupaendeleza na pesa hiyo sina nafikiria niingie bank sababu ni sehemu ukipafanyia planning...
MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI, HABARINI ZA UZIMA.
Pole sana na kazi zenu nyingi za kuhudumia wananchi.
Napenda kukuletea kilio cha wakazi wa maeneo ya Kawe, Mbezi Beach na Makazi Mapya, ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tatizo kubwa la maji ya bomba yanayokuja na udongo mzito...
Wanajamvi
Msaada kwenye tuta
Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen)
Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage
Natanguliza shukrani.
Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda Kyela lenye jina la Kyela Express.
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea.
Namba ya Hilo gari...
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine.
Anaamua kutokwenda.
1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje?
2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
Habari ya wakati huu wakuu.
Samahani naomba msaada anayefahamu zinapouzwa submeter kampuni hii Ya MT electrical nina shida na namba za wauzaji au operator hapa ninapo kaa nimeikuta hii meter na kwa bahati mbaya mwenye nyumba hajui fundi alinunua wapi na hana contact zake sasa sijui hata umeme...
Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal.
Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
Habari za muda huu wakuu ,
Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
Mathematical Riddle ; Fumbo la Hisabati
Marafiki watatu, Gwajima, Wambura na CCM walienda hotelini kwa Tulia, wakalipia room shs.30/= , ambapo kila mtu alichangia shs.10/=.
Baadae Tulia akagundua kwamba gharama ya chumba ilikuwa shs.25/= tu, hivyo akamkabidhi mlinzi Mafwela shs.5/= ili...
Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu
Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.