Nina week sijala Kipapiro je inaweza saidia kukuza gobole? Je nikikaa mwezi litakua zaidi? Au niendelee tu kuchakata vipapiro?
Nimeuliza hivi kutokana na kuwa nimekuwa tight hii week nchi ya ugenini huku Morocco. Sijafanikiwa pata kipapiro. Naona kama gobole limeongezeka. Na sijacheza pool...
Habari Wana JF,
Kunajambo niliiona pale kituo kikuu Cha mabasi Cha magufuli mbezi kwanza nilikipenda kisha kikanishangaza ila kimenishawishi kukifanyia kazi.
Kuna siku nilikuwa safarini kuelekea mkoani nikiwa na kisimu changu mwenyewe maisha yanaenda nilipofika Mbezi nilikuwa nimechelewa sana...
Wakuu salam.
Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya mawasiliano ya kielectronic kama AIRPORT,VODA,TCRA nk anisaidie kupata nafasi ya kufanya mafunzo ya vitendo...
Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi
Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu...
Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso.
Sambamba na Korea kaskazini nchi...
Asalamaleku nyote!
Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye radio siufurahii.
Kwa mfano ninaweza kuwa na wimbo wa Ngwair kwenye simu yangu lakini nikiupiga...
Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao,
Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako
Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo...
Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika...
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.
Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang
"Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
Nimepata msichana mrembo na anaonekana ni msomi tu maana kanambia kamaliza chuo mwaka jana,
Sasa katika kuchat ili kufahamiana zaidi si nikamuuliza 'What your love Language? Mtoto si kanijibu 'Both' nikamuuliza both nini, kanijibu kiswahili na kingereza,😁😁
Hapa nimeishiwa pozi nimebadili mada...
Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi.
Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
Wakuu habari zenu.
Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza.
Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.