FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Mathematical Riddle ; Fumbo la Hisabati
Marafiki watatu, Gwajima, Wambura na CCM walienda hotelini kwa Tulia, wakalipia room shs.30/= , ambapo kila mtu alichangia shs.10/=.
Baadae Tulia akagundua kwamba gharama ya chumba ilikuwa shs.25/= tu, hivyo akamkabidhi mlinzi Mafwela shs.5/= ili awarudishie wageni pesa iliyozidi.
Kwa kuwa mlinzi allikuwa kilaza, na hakujua jinsi ya kugawanya shs.5/= baina ya watu watatu, akaamua kumpa kila mmoja shs.1/= , na yeye akabaki na shs.2/=.
Kwahiyo sasa, kila mgeni anakuwa amelipa shs.9/= ( sababu kila mmoja amerudishiwa shs.1/= katika ile shs.10 aliyolipa awali), hivyo jumla wamelipa shs.27/=.
Na Mlinzi Mafwela amebaki na shs.2/=, ambapo jumla inakuwa shs.29/=.
Je, Shs. 1/= iliyopotea , imeenda wapi?
===========================
View: https://www.instagram.com/reel/DH_smPPMr7U/?igsh=dHBrZHFuOHl1MTIy