msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UN: Idadi ya watu wanaohitaji msaada duniani yaongezeka

    Umoja wa Mataifa umesema mmoja kati ya watu 45 duniani ambao ni sawa na milioni 168, watahitaji msaada wa kibinadamu ifikapo mwaka 2020. Kwa mujibu wa ripoti ya umoja huo idadi ya watu wanaohitaji msaada imeongezeka hadi milioni 22 katika kipindi cha mwaka uliopita kutokana na migogoro na...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada model gani ya Scania Mende ni nzuri?

    Habari za jioni wakuu, Nilikua naomba ushauri kuhusu model gani nzuri ya scania mende kwa matumizi ya kazi za ujenzi kama kubeba kifusi, kokoto na mchanga.. nimekua nikitumia scania 114 - 340 kwa miaka kama 8 sasa ni nzuri na haijanisumbua. Nina uhitaji wa kuagiza ingine. Lakini matoleo ya 114...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi

    Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo: - Law - Journalism - Public administration - Social Work Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kujua ni madini gani haya

    Wakubwa msaada wa kujua haya ni madini gani. Ninayo kama kilo moja hivi.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada ni mara ya pili sasa mbegu za nyanya chungu hazioti

    Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata! Vilevile na pilipili hoho zimegoma!! Naombeni mnisaidie nijue nakosea wapi ndugu zangu. Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, ujambazi unavyoshamiri Chato raia wanakosa msaada

    Siku ya tarehe 2, August, 2016 nilikiwa katika mji wa Mganza wilaya ya Chato nilishuhudia mfanya Biashara akitekwa na kuibiwa pesa million nane 8 Tshs. Mfanya biashara huyo bwana Kamba Tassian alipigwa na kutekwa na kunyanganywa pesa baadae alienda kituo cha Police kutoa taarifa lakini hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…