msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

    Habari zenu wana jamvi, Kwa wenyeji wa Dar naomba Mnisaidie nipande daladala zipi kutoka Buza mpaka mwenge. Mimi ni mgeni kabisa wa jiji.
  2. T

    Madagascar: Mfumo wa Huduma za Afya waelemewa na wagonjwa wa Corona, hospitali za Umma zimejaa

    Taarifa ni kuwa mfumo wa Huduma za Afya nchini Madagascar umeelemewa na wagonjwa, hospitali zote zimejaa wagonjwa, hali ni mbaya. Serikali imeomba msaada wa mashine zaidi ya 1,000 za kupumulia. Hospitali zinapokea wagonjwa mahututi pekee kwa sababu wagonjwa wakejaa. Organic Covid imegonga...
  3. Naombeni ushauri mpenzi wangu amepotea hewani

    Habari za majukumu wana-MMU. Kwa ufupi nipo kwenye mahusiano na binti takribani miezi 5 sasa. Mwanzo mapenzi yalikua mazuri na tulipendana sana na nilijitahidi kutimiza kile alichohitaji kadri ya uwezo wangu. Japo kuna kipindi mawasiliano yalipungua kwake ikawa nisipo mtafuta mimi yeye...
  4. Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

    Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
  5. Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

    Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa: RITA Tanzania Kwa mujibu wa sheria unaweza kupata cheti katika Wilaya uliyozaliwa au katika ofisi za Msajili Mkuu, Makao Makuu ya RITA katika jengo jipya la wakala la Rita Tower lililopo Mtaa wa Makunganya maeneo ya posta mpya mkabala na Club Bilcanas, Dar...
  6. Naomba msaada namna ya kuondoa kidney cyst bila kufanyiwa upasuaji

    Wakuu, Kichwa cha habari kinajieleza,nimekuwa na maumivu kwa muda mrefu ya mbavu upande wa kushoto,juzi nilikwenda hospitali kupima,walinipiga ultrasound na dokta aligundua kuwa kwenye figo yangu ya kushoto kuna kiuvimbe kidogo 2.5cm×2.9cm kinachoitwa kidney cyst. Nilipewa dawa ya kutumia kwa...
  7. Msaada: Hawala anataka tugawane mali

    Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha. Alinikuta nina nyumba moja na Kiwanja hivi...
  8. B

    Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

    Wapendwa poleni kwa majukumu Naomba kujua mambo ya msingi kwa gari tajwa hapo juu 1. Ulaji wa mafuta 2. Upatikanaji wa spea 3. Magonjwa ya mara kwa mara 4. Uimara wa gari hasa kwenye bara bara za vumbi Natanguliza shukran
  9. C

    Msaada: Kituo cha tuition kwa ajili ya kurudia (ku-reseat) Mitahini Form 4

    Heshima Mbele wadau Kuna bwana mdogo kachemsha pepa najaribu kuona namna ya kumsaidia. Naomba kuulizia kituo cha maandalizi/tuition center kizuri kwa maandalizi kilichopo maeneo ya Goba au Mbezi Mwisho kwa ajili ya mwanafunzi anaetakiwa kurudia NECTA Form 4. Masomo Geography, History...
  10. Msaada kuhusu Silent Ocean (simba wa bahari)

    Wana JF. Najua naweza pata msaada hapa. Naomba kwa mwenye uelewa wa namna hawa Silent Ocean wanavyofanya kazi. Je, wanaweza kunisafirishia mzigo kutoka China bila mimi kwenda huko? Asante wote mtakao nisaidia katika hili.
  11. Msaada kwa mwenye Car Diagnostic Software

    Mdau mwenye Car Diagnostic Software kwa ajili ya ku-install kwenye PC (Windows OS) anisaidie.
  12. D

    Wataalamu wa Editing, msaada kwa hili

    Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi. Kila nikiweka maandishi yanapita rangi nyeusi, yaani hayaishii kwenye Bodi ya rangi nyeusi. Natumia Adobe Premiere...
  13. Msaada - Naomba kujuzwa utaratibu wa kusajili blog na online TV

    Salam wapendwa. Naomba kujuzwa na wajuzi. Utaratibu wa kusajili hizi blog na website pamoja online TV huko kunakoitwa TCRA. Je, ni aina gani ya blog? (Inayojihusisha na nini?) Je, vipi upande wa chennel ya YouTube? Na je, vip kuhusu website? NAOMBA KUJUZWA JAPO KWA UCHACHE
  14. Msaada kwa walisoma masuala ya ukuzaji miitaala

    Habari. Wagenzi ninaomba msaada wenu tafadhali, naomba mnijuze ni chuo gani kinatoa diploma ya ukuzaji mitaala (diploma in curriculum development) sifa za kujiunga (vigezo) na mambo yote ya muhimu kwa ujumla. Asante
  15. P

    Msaada: Computer imejaa lakini kilichoijaza sikioni nikifute

    Nina shida ya computer, Windows 7 Pro Inaonyesha imejaa lakini siyaoni hayo mafaili ya kujaza 150 GB. Nawezaje kupata kitu kama listi ya mafaili yote yaliyomo kwenye computer, size yake na mahala yalipo ??? Kuna command prompt naweza kutumia? - Recycle bin is empty - Show hidden files and...
  16. TCRA tunaomba msaada tafadhali

    Sisi hatukufanya makosa kuitikia wito wa kusajili lain zetu kwa alama za vidole Ila makosa yanafanywa na mawakala ambao mmewaamini na kuwapa dhamana ya kutupatia huduma hiyo wananchi Wana dumplicate data za mteja wa awali na kuzitumia data hizo kuwasajilia wateja wengine sim card huku...
  17. B

    Mbeya Uyole & Mbulu: Nahitaji mashamba ya kilimo

    Wanajamvi, Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini. Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji...
  18. Msaada: Laptop yangu aina ya Toshiba Tecra ina tatizo la kuwaka (blinking) taa ya charge

    Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
  19. Msaada wa jinsi ya kuweka MS Office kwenye Window 10

    Habari humu jamvin! Nina PC yangu Lenovo window 10 nikitaka kuweka program yeyote inakataa...inahitaji trusted programs Nitafanyaje na ninahitaji kuistall MS Office.
  20. Msaada: Nataka kurudia mtihani wa kidato cha sita, utaratibu ukoje?

    Wakuu naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa kufwatwa nataka kurudia mtihani wa kidato Cha sita tahasusi ya PCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…