Salaam! Hongereni na poleni kwa majukumu, naomba msaada kati ya Degree ya Science (ICT) na Degree ya Science (Data Management) zinazotolewa na Open University of Tanzania ipi ni bora zaidi hasa katika ulimwengu huu na dunia ijayo.
Ahsanteni. Be blessed!
Ahsanteni. Be blessed!