msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada, kuhusu Kusoma CPA

    Kwema Ndugu Zangu? Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine majukumu mapya zaid katika fani hiihii ya Uhasibu. Nilichopanga ni kusoma CPA. Sasa msaada naouhitaji ni...
  2. Serikali ya Jean Baptiste Bhokasa ilipokosa pesa ya kujiendesha alipata msaada wenye masharti kutoka kwa Gaddafi

    Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon. Bhokassa alikua mfujaji sana wa pesa, aliishi maisha ya anasa sana. Wapinzani wake waliuliwa kama kuku.. Alipoamua...
  3. Msaada: Natafuta kazi au kujitolea ya Assistance accountant

    Habari wana jamvi. Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu. Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania...
  4. Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  5. K

    Nina cheti cha IT, natafuta kazi

    Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
  6. MSAADA WA PC YANGU

    Wakuu habari za Jumapili! Naombeni msaada wenu pc yangu niliifungua kwa ajili ya kuisafisha, baada ya kuifunga kila ninapoiwasha inatoa ujumbe YOUR PC RAN INTO A PROBLEM AND NEEDS TO RESTART. Nimejaribu kila namna had kureset window bila mafanikio.
  7. Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

    Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia. Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
  8. Msaada jinsi yaku cancel admission UDOM

    Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom. Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili niombe upya
  9. Msaada: Jinsi ya kutambua kuwa unamultiple selections

    Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!! Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue. karibun
  10. Anayefahamu ada za Marian Unversity College, msaada tafadhali

    Kwa mtu mwenye uelewa juu ya hilo naomba ansaidie. Nimechaguliwa pale kwenda kupga Bachelor of Science with Education, naomba anaejua ada ya hii course kwenye hiki chuo ansaidie!!! Karibuni wadau
  11. Msaada: free FL Studio for Android

    Wakuu nina shida na FL STUDIO free maana nimeingia playstore ipo ya kulipia 47,000 aliye nayo tuma download link
  12. S

    GE2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

    Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house" Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga...
  13. Kwa nini maamuzi ya dunia yanafanya na G7 pekee

    Habari wanajukwaa pendwa, Naomba kuuliza wengi tunajua duniani kuna nchi zaidi ya mia tisini, je ni kigezo gani kilizingatiwa mpaka maamuzi makubwa kidunia kuamuliwa na G 7 pekee? Je, kama wanazingatia uchumi Kwanini hawakuchukua kila bara angalau nchi tatu zenye uchumi wa juu kwa kuunda...
  14. K

    Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi na nimeshatumia dawa nyingi sana za hospitali lakini bado tatizo liko pale pale. Naomba mnisaidie dawa itakayonisaidia kuondokana na tatizo hili.
  15. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
  16. Msaada kuhusu chuo cha Ifakara

    Jamani nimechaguliwa chuo cha St Francis Ifakara... Anaekijua au aliesoma au anaesoma aniambie kikoje.
  17. Msaada kwenye akaunti yangu ya Facebook

    KAMA ULISHAWAHI KUKUTANA NA HILI TATIZO KILA UNAPO LOGIN NIAMBIE ULISOLVE VP? ASUBUHI NJEMA
  18. P

    Msaada wa kumpata fundi/gereji wa nissan hard body hapa Dar

    Poleni na Majukumu ya kila siku. Changamoto niliyonayo ni jinsi gani ya kupata fundi/gereji nzuri ya nissan hardbody hapa dar ambayo imepack kama miezi sita.Hapo awali ilikuwa iko poa tu,tatizo niliposafiri hapakuwa na mtu wa kuwa anaiwasha kila siku asubuhi. Naomba mwenye kujua fundi...
  19. Naombeni msaada wakujuzwa kama TAESA kwa mkoa wa Kilimanjaro ipo na inapatikana maeneo gani

    Ndugu zanguni naombeni msaada mnijuze TAESA kwa Kilimanjaro kama ipo na iko maeneo gani na mimi niende nikapeleke huko vyeti huku mambo mengine ya kupambana kutafuta ajira sehemu mbalimbali yakiendelea.
  20. Trump aweka wazi "Hata uwe hali gani bado unahitaji msaada wa bosi ambae ni Yesu"

    Hakuna rais anaechezewa Rafu mbaya sana kama Trump, Ila cha kushangaza ni Kwamba Rais huyu huibuka kidedea na kuwaacha wengi midomo wazi ni vipi na kawezaje kuhimili mishale mingi kiasi hiki. Siri ni Moja Tu, Trump Anamtanguliza sana mungu ambae ni Mwema mwenye rehema, Asiepatwa na usingizi waa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…