Msaada naombeni kazi au connection nipate kazi

Msaada naombeni kazi au connection nipate kazi

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
564
Reaction score
868
Habari zenu wakuu,

Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam.

Naombeni kazi ya ufundi umeme Elimu nina level three ya electrical.
 
Hiyo
IMG-20210222-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom