msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada kwenye FB ADS

    Mimi sipo vizuri sana kwenye maswala ya digital marketing nahitaji kujua vitu viwili kutoka kwenye hii kitu. 1: Kipi hutokea kama hujaweka kabisa audience's interest inamaana itapiga viral au ita categorise itself. 2: Hivi unapochagua audience wa eneo flan mfano Mbeya au Iringa je system...
  2. Wapi nitapata Dinamo ya kutoa 12Volt kwa hapa Dar ( Msaada tutani )

    Wakuu, husikeni na kichwa Cha hii thread. Mkinipa Bei zake ntashukuru zaida
  3. Msaada naombeni kazi au connection nipate kazi

    Habari zenu wakuu, Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam. Naombeni kazi ya ufundi umeme Elimu nina level three ya electrical.
  4. Msaada: Simu wangu inashindwa ku-update WhatsApp

    Simu yangu ni Samsung S 8 Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa. Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana. Kinachotokea nikiingia kwenye google play naipata app ya WhatsApp lakini niki download inaload tu haiwezi download. Naomba mnisaidie shida...
  5. Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

    Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona. Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services. Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia. Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
  6. Msaada: Kila nikinywa bia mwili unawasha sana

    Mimi ni mnywaji wa bia, ila na wiki mbili sasa kila ni kinywa bia asubuhi mwili unaniwasha sana, tatizo litakua ni nini? Msaada kwa mwenye kujua
  7. Msaada please! Natafuta code ya equity mobile banking

    Salamu kwenu! Hivi code inayotumika kuingia kwenye account ya equity bank kutumia simu ni ipi? Msaada tafadhali.
  8. K

    Nina shahada ya Uhandisi wa Mitambo, natafuta ajira

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana muhitimu wa Shahada ya kwanza ya Uhandisi Mitambo(Mechanical Engineering) mwaka 2019 kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT). Naishi Mbagala, Dar es salaam Najitokeza mbele yenu kuomba msaada wa kupata sehemu ya kujishikiza (internship, volunteer...
  9. T

    Msaada ndugu zangu: Chimbo la ubuyu ule unaouzwa Kariakoo

    Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA. Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla. So...
  10. Msaada: Nauli na taratibu za kwenda Kenya kutoka Tanzania

    Habari zenu ndugu zangu, nilikua naomba mwenye ufahamu wa taratibu za kufata za mtu kutoka Dar kwenda Nairobi ni mahitaji gani yanahitajika ili niweze fanikisha safari yangu. Nauli ni kiasi gani? Nategemea kusafiri na watoto wangu wawili mapacha kwahiyo sitokuwa mwenyewe. Watoto wana miaka mi...
  11. D

    Nahitaji Mbegu za pilipili hoho

    Habari wadau, Nahitaji kupata mbegu za pilipili hoho, kijani, nyekundu na njano.
  12. Msaada: nawezaje kuzifanya video za Instagram zisiplay zenyewe?

    Habari humu wadau wa jukwaa hili? Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off kama inawezekana tafadhali 🙏
  13. Msaada manunuzi ya Lcd Ya Samsung J7 Pro kwenye site ya Aliexpress.

    Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5 ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
  14. Msaada: Dawa gani nitumie kutibu hili tatizo la maumivu ya upande mmoja wa mshipa wa wa sehemu za uzazi

    Habari JF Doctors na wadau mbalimbali, Nina kijana wa kiume miaka 19 anasumbuliwa na maumivu ya upande mmoja wa mshipa wa sehemu za uzazi, Tatizo hili limemuanza wiki moja nyuma ambapo palianza kuvimba kidogo kidogo lakini saivi pameongezeka na maumivu anasikia makali. Chanzo cha tatizo...
  15. Msaada jina la hii movie

    Habarini wadau. Naomba kujua jina la hii movie.star wa ile picha anaitwa jonathan gabot(sina uhakika na spelling),ni picha flan ya kifalme ambapo jamaa wanapewa mitihani mingi halaf mshindi anamuoa mtoto wa mfalme.picha yenyewe imeigiziwa nchini nepal.
  16. Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Wakuu naomba kwa anaefahamu dawa hasa za asili au zozote ambazo zinasaidia mfupa kuunga haraka. Kama hazipo pia naomba nijulishwe au kama kuna njia yoyote inayoweza kutumika kusaidia hili. Nawasilisha.
  17. Msaada: Uwakala wa Halopesa

    Wadau naomba utaratibu wa kuwa wakala wa Halopesa kuanzia. 1. Namna ya kupata laini ya uwakala 2. Gharama zake 3. Wanalipaje commission Ahsante!
  18. T

    Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

    Wakuu nilimaliza chuo mwaka 2018, nilitafuta ajira mpaka nikahisi kukata tamaa, Mungu amtupi mja wake nikabahatika kupata kazi katika kampuni binafsi uko mkoani (nje ya Dar es Salaam) hiyo kazi ni project tu ya miaka miwili, ile kazi nilifanya vizuri mpaka ikaisha kwa uaminifu mkubwa kabisa...
  19. Msaada. Makadirio ya kodi kutoka TRA

    Wakuu za leo. Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza. Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly...
  20. Msaada wa kutibu vipele hivi kwa mtoto 2wangu wa mwaka mmoja

    Nina mtoto wa mwaka mmoja. Wiki iliyopita alitoka vipele usoni na shingoni, nilimpeleka hospitali wakampa dawa ya kunywa na kupaka vikaisha. Cha ajabu leo nimeona vipele vimerudi kwa kasi kama picha inavyoonesha hapa chini, nataka nimrudishe tena hospitali lakini nimeona si mbaya nijaribu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…