msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoto mkubwa

    JamiiForums Tanzania Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex...
  2. DaveSave

    JamiiForums Tanzania MSAADA KWA NDUGU/JAMAA WENYE MATATIZO YA ULEVI (URAIBU).

    Stay Clean Foundation Tanzania (STCF) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye makao yake makuu Arusha, ambayo inajihusisha na kuwasaidia vijana walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Substance Abuse) kwa kutoa Elimu katika Shule, Vyuo na Taasisi za Umma na binafsi ya namna ya...
  3. kidi kudi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuipata hii app

    Wasalaam, Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika upande wa sms, wa kutuma 'flash message' ambayo moja ya sifa yake ni pamoja na kupotea ukishamaliza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya ku register police loss report online

    naomba mwenye kujua namna ya kusajiri mali iliyopotea onlie anisaidie ie police loss report online register. Nikijaribu kufungua link inanipa error. How do i proceed?
  5. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu Tv kutoonyesha picha kupitia AV1 na AV2

    HABARI WAKUU, Rejea kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kwenye moja nambili nikwamba tv yangu haichukui picha kupitia AV1 NA AV2 lakn ukichomeka kupitia mfumo huu wa (y cb cr) inaonesha lakn inakuwa haina rangi,, tatizo ni nini hapo wakuu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majibu

    Msaada ni NJIA ipi Kati ya hizo naweza tumia kwa ajili wa kuweka na kutoka pesa ikaja kwenye account ya benk au mtandao wowote wa simu tanzani
  7. hovyohovyo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Brake Light Rubber

    Ndugu zangu, Nissan xtrail yangu imeleta shida. Taa za breki hazizimi na ktk kukagua nikakuta kwenye brake pedal kuna ki-rubber kimesagika hivi na vipande vimedondoka. Fundi kasema kuwa kuna ki-rubber au kiplastiki chini ya pedal ndo kinahusika Replacement yake mpaka kupata kingine au kuchongea...
  8. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi nzuri kati ya hizi?

    Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri? 1 . Web designing 2. Vfx and animation 3. Software and programming languages 4. Tally 5. Cyber security 6. Computer hardware and maintainance 7. Computer hardware anda networking 8. 9. 10. Ongeza chaguo jingine ikibidi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  11. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania Waungwana msaada

    Jamani simu yangu kila nikiandika FROG zinatokea imoj za VYURA WA KIJANI sijajua shida ni nini.
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Brand gani nzuri ya vyoo?

    Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza. Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

    Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
  14. Puna

    JamiiForums Tanzania Msaada hili ni jeshi gani?

    Wakuu habarini!katika pita pita zangu huko Fb picha inayotrend kwa sasa ni huyu mjeshi Hapo hiyo chuma kampa dogo bila hiyana dogo nae kainua chuma. S Sasa swali langu hili ni jeshi gani hapa Bongo lala?je kama ingekuwa na lisasi na dogo akakumbuka Movie zetu za komando kipenzi si hatari hii?au...
  15. Litro

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huu ujenzi

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri. Nna kaunjezi kapo kwenye level ya kupaua sasa pesa ya mbao ipo mfuko wa shati ila ya bati itapatikana baada ya kama mwezi na nusu. Mimi nilitaka kuweka hii pesa mpaka ninunue bati ambazo nitaomba ushauri muda ukifika. Ila kwa sasa naomba ushauri maana...
  16. Rogwa

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya Kisonono

    Natumai mu wazima wa afya, Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu. Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na...
  17. Mtumaini Mungu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai. Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya wangu ni maradhi yanayonisumbua na kunitesa kiasi kupelekea kutomudu majukumu yangu ipasavyo. Mwezi...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana na Interview

    Habari Jamii Forums; Nili apply internal vacancy sasa nimepata email na kupigiwa simu kuhusiana na interview. Email imeandika EES Discussion Nimejaribu ku google EES ni Employee Effort Score. Mwenyewe uwelewa wa undani zaidi kuhusiana na interview ya namna hii inakuwaje na baadhi ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Mganga atakayeweza kunisaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa

    Wakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika) Natanguliza Shukrani
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
Back
Top Bottom