msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
  2. Vigo Mnyama

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze

    Naombeni msaada kwa yule anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze na Mimi nitumie app gani nichore.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  4. Rhz4567

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu

    Gego linaniota pia pembezon mwa taya kuna vitissue vinaota hapa nilipo mandible tissue zinaniuma sana nitumie dawa gani nitulize haya maumivu,leo nimeshindwa kabs kutafuna vyakula,nikiachama ubaridi ukiingia kinywani napatwa na maumivu makali sana Tangu asubuh nakunywa maziwa na maji tuu.
  5. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  6. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF

    Habari zenu, Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
  7. B I N A M U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhama iphone moja kwenda nyingine bila kupoteza data

    Msaada anaejua jinsi ya ku migrate kutoka iphone moja kwenda nyingine bila kupoteza data kutoka old phone kwenda kwenye new phone
  8. Chalii flani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo unahitajika

    Wajuba poleni na majukumu ya kuendelea kulijenga taifa letu wengi wetu tunapitia changamoto za kukatika umeme,maji na baadhi ya bidhaa kupanda wenye mamlaka huu mzigo tumewatwisha ninyi Nije kwenye mada mjuba mwenzenu Kati ya ndoto zangu kubwa nilizowahi kuwa nazo tangu nakua ni kuja kumiliki...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inatatizo la charging system

    Laptop yangu inatatizo la charging system haipokei chaji, nimepeleka kwa fundi anarekebisha ila baada ya muda tatizo linarejea tena. Naomba msaada wenu kama kunafundi mzuri anisaidie. Asante
  10. issac77

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali

    Mfano nimedepost usd 50 kwenye crypto wallet nikanunua ethereum coins za thaman hiyo nikazi-hold,.. baadae ethereum coin zikashuka sana thaman sokoni zile usd 50 zikapukutika. Je, wallet yangu itasoma negative (- 50) ili soko ilikipanda zipande tena ama wallet itasoma zero kabisa yani hamna...
  11. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Msaada! Kozi za kusoma online kwa hapa Tanzania

    Umuofia kwenu, Mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya online. Kwa sasa nipo dar kwa yeyote ambae amewahi kusoma online degree tafadhali naomba muongozo wake...
  12. Kichaka12

    JamiiForums Tanzania Msaada: kesi ya ajali ya pikipiki

    Wakuu wanasheria natumaini mko poa. Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu dogo hana lesen. Kachukuliwa yeye na pikipiki yeye aliwekwa mahabusu then kuna mtu kaenda kumuwekea...
  13. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Msaada Von refrigerator

    Wakuu habar. Kuna mtu anataka kuniuzia fjiji Aina ya Von milango miwili. Ni friji dogo. Sasa sina utaalam na friji na hata muuzaji hafaham linatumia unit ngap Kwa siku. Mwenye kujua Kwa kuangalia specification hizi anisaidie.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
  15. Zero Star

    JamiiForums Tanzania Msaada mwepesi na waharaka wa kubadili TIN namba isiyokuwa ya kibiashara kwenda ya kibiashara

    Naona Staff wa TRA wa uku nilipo siwaelewi kabisa,wanafanya mambo yawe magumu... Mwaka 2017 nikiwa Dar es salaam nilipata TIN namba lakini ilikuwa si kwa ajiri ya biashara (non business use),niliipata nkiwa ktk harakati za mafunzo ya udereva. Kwa sasa nipo mkoa wa nyanda za juu uku ktk...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wana jamvi la sheria Jumatatu nahitajika mahakamani

    Yapata miezi kama kama miwili imepita Tangu nilipobomolewa mlango wa nyumba ya kupanga mida ya mchana na nikaibiwa vitu kadhaa ikiwepo TV , radio, pesa , vyombo na vitu vingine. Wakati Tukio linafanyika nilikuwa kazini na wife nae alikuwa safari so nyumbani hapakubaki mtu. Baada ya...
  17. The Knowledge Seeker

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha Masomo(study permit) nchini Afrika Kusini

    Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa 🇿🇦 au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati BBA na BBM

    Naomba kujua tofauti kati BBA na BBM hizi course kwani zinautofauti? Msaada wenu nahitaj kujua kwa undani
  19. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Habari zenu wakuu. Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa. Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four...
  20. jian

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
Back
Top Bottom