Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha Masomo(study permit) nchini Afrika Kusini

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
2,997
4,166
Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa 🇿🇦 au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa hizo documents zako. Nataka niombe hii visa sasa sina ABCs zake

Mwenye ujanjaa au connection ya kitu chochote kuhusiana na hili jambo karibuni. Asanteni
 
Uwe na admission letter ya chuo chako.

Pia study permit unaweza kuomba wewe au chuo chako kikakutafutia.

Nenda karipoti chuo kwanza. Utaprocess study permit huku ukiendelea na masomo.
 
Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa hizo documents zako. Nataka niombe hii visa sasa sina ABCs zake

Mwenye ujanjaa au connection ya kitu chochote kuhusiana na hili jambo karibuni. Asanteni

Dah umenikumbusha pale UWC..
 
Back
Top Bottom