msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benki ya Dunia yasitisha Msaada kwa Sudan

    Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Uchumi wa Sudan, wakati huu ambapo unaanza kurejea katika hali yake Maamuzi...
  2. Wataalamu wa vyombo vya majini?

    Msaada kwa wataalamu wa vyombo vya majini; FIRE BARGE ndio nn, na bei zake zikoje?na Identification barge with name and check number inauzwaje pia?
  3. Ujerumani imepata Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takriban Sh190.5 bilioni

    Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na mtoto pamoja na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha...
  4. Mkopo kwa wanaoendelea majibu huwa yanatokaje wakuuu msaada

    Msaada wakuu naombeni kujua kuhusu utaratibu wa majibu kwa walio omba mkopo kwa wanaoendelea huwa yanatokaje
  5. Msaada: Nini Maana ya Cookies?

    Katika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni; 1. Cookies ni nini? 2. kwanini wanatumia cookies? Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante
  6. Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

    Waungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka. Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona. Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week...
  7. Mpende au Mchukie, Mugalu ni msaada mkubwa sana Simba

    Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi. Ila jamaa ni bonge la straika, anapokuwepo kwenye timu anafanya wachezaji wa timu pinzani kuanzia watatu hadi wanne wasipande mbele kwa...
  8. Msaada: Wapi wanauza misalaba ya ukutani?

    Nahitaji kimsalaba cha chuma kama hiko katikati hapo kwenye picha. Kwa hapa Dar, duka linalouza vifaa vya aina hii linapatikana wapi? Msaada please
  9. Msaada: Mtu/mahali pa kutoboa kioo Dar/Arusha

    Habari zenu. Naomba msaada wa mtu/mahali pa kukata kioo kuwa round (clean cut) na kutoboa kioo /vioo vya aina mbali mbali vishimo vya vipimo (3mm-60mm) tofauti kwa ubora wa hali ya juu. pia mtu/mahali kwa kukata kioo round (15mm -300mm)/ sinous shapes. Kwa Dar na Arusha/Moshi. Asanteni
  10. Msaada kuhusu UN volunteering

    Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kujitolea nje ya nchi (mfano Sudan, Congo, Sierra Leone au hata nje ya bara) kama UNVolunteer hata kama ni mara ya kwanza kujitolea. Msaada wakuu
  11. M

    Msaada jinsi ya Kubadili course chuo kikuu UDOM

    Samahanini.kuna mdogo wang kachaguliaw UDOM course ya IT,anataka akajaribu kufanya transfer ya course kutoka course ya IT kwenda MD kweny matokeo yake ya form six ana D flat dvs 2 point 12,,,,je inawezekana???
  12. D

    Msaada unahitajika maana naona kichwa kinaelekea kupasuka

    Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu. Sister yeye ana...
  13. Naombeni msaada wataalam na wajuzi wa hili tatizo

    Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea. msaada wakuu
  14. Je unajua dola inavyosafirishwa? Mfano unaposikia benki ya dunia wametoa msaada dola bilioni kadhaa kwa nchi husika unajua zinafikaje?

    Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
  15. Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  16. Msaada wajinsi ya kuondoa background noise sound

    Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh. Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer ya yamaha na desktop chumba akiingizi sauti za nje ni sound proof
  17. K

    Msaada: Kipimo cha blood kimeonesha abnormal population band

    Naomba ushauri, kipimo cha blood kimeonesha abnormal population band doctor anasema kuna cell nyingi mwilini naomba kujua kama ina shida gani au adhari gani na naweza fanyaje kujua tatizo. Karibu wadau.
  18. Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

    Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku. Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo. Nimetumia sendwave...
  19. Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
  20. W

    Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

    Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…