Msaada wa mawazo: Nakopi wazo la Q-Beans kuuza maharagwe ya kuchemsha

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,276
Habar wakuu,

Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani.

Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online atanichangia MAWAZO.

LENGO LANGU NIKUBORESHA
je kuna haja ya package?? Soko langu uswazI

Je, soko lake wadau likoje?

Je , nitumie usafiri kuwapitia uswaz, au nitege sehemu?

Je, kwa kipindi hichi nikianza itafaa au nisubiri maharage yashuke?

Je, mipimo cha robo kwa bei ya 1000, je nitapata wateja?

Wapi nitapata chimbo la maharage kwa bei rahisi?

Je, nifanyeje niweze kuepuka changamoto za Aina mbali mbali za maharage?

Na mengineyo ambayo mtanisaidia niweze kufikia malengo

NB: pia kama kuna mwana ambaye haoni aibu wala kujistukia,na yupo dar,karibu tushirikiane kwenye hii biashara, nategemea nitumie usafiri wa gari kuwafikia wateja.

Asanteni

UPENDO, IMANI,MIUJIZA
 
Wazo zuri,bei ya 3000 kwa kilo ni rafiki Sana kabisa kwa mlaji,Ila usisahau kupiga gharama zako za nishati maana kilo ya maharagwe sokoni ni 2400, kwa suala la package uswazi hawana complications.

Changamoto ni wewe kujua mbegu tofauti za maharage,kuna mengine yanachelewa Sana kuiva hapo itakucost nishati. Kuna mengine yamepooza Sana mdomoni.. so take your time ujifunze
 
Back
Top Bottom