msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja?

    Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja? Wakuu leo asubuhi bandani kwa kuku nilisikia kuku wakirukaruka, kelele kama wanapigana na vurugu, baada ya kufungua Banda nimemkuta kuku mmoja akiwa taabani,ikabidi nimuwahi kisu kabla hajakata Moto. Sasa sijajua ni nini...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeaza kuandika vitabu, Nahitaji msaada zaidi

    Salamu wapendwa Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi. Basi Kwenye hii likizo nilianza kuandika kitabu kimoja, ni ngumu lakini naona inawezekana. Nimepanga kuandika vitabu sita...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya baada ya panya kula pesa

    Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikibadili kozi kwa chuo kile kile ili nichaguliwe chaguo la pili, nalipia tena?

    Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

    Shikamoni wakubwa zangu wote Nina binamu yangu kabahatika kachaguliwa kozi za bachelor of Education in electronic and electric engineering pale MUST pia KACHAGULIWA KOZI YA FORESTY Pale SUA... Nimekuja kuomba USHAURI mbele yenu kijana a confirm wap.. But yeye kama yeye yuko open minded...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhari

    Habari za muda huu ndg zangu! Samahani sana wadau mwenye kufahamu upatikani wa hiki kifaa popote hapa nchini kwetu Tanzania.....naamini Tanzania ni pana na ina watu wengi kila kona Jina la kifaa: round stainless heater/ ring heater/band heater Samahani sana mwenyewe kujua naomba tuwasiliane...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada :Date of Birth Confirmation ni nini?

    Wakuu Habari zenu Naomba kuuliza hichi kitu mara moja, nimekutana nacho sehemu na nimeshindwa kuelewa ni kitu gani. Kulikuepo na sehemu ya Date of Birth hiyo nimejaza, ichi kipengele cha Date of Birth Confirmation nimekwama, nime-google nimeshindwa. Naomba masaada, wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni ya upimaji ardhi maarufu kama Ardhi Plan

    Habari wana jamvi, Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale. Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani kupeleka Haiti msaada wa Tsh. Bilioni 11.6

    Msaada huo umetengwa kutoka kwenye Mfuko Mkuu wa Dharura (CERF), ili kushughulilkia hali mbaya ya Chakula nchini humo inayosababishwa na ghasia za magenge ya waasi Ripoti ya Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa imeonesha tangu mwezi Julai 2022, takriban watu 500 wameuawa katika mapambano...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Maana ya Kila Sign Hapa

    Image👇
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kisheria, vijiji vinavyozunguka mgodi inatakiwa vitengewe asilimia ngapi?

    kisheria, vijiji vinavyozunguka mgodi inatakiwa vitengewe asilimia ngapi au fedha kiasi kwa ajili yamaendeleo kila mwaka?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Msaada

    DOGO ANA BCD KWENYE COMBINATION ANAWEZA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA KAMA MTAHINIWA WA KUJITEGEMEA(PC)?
  14. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa till ya mpesa

    Naombeni msaada au mwongozo tafadhali , mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye msaada wa kupata hiki cheti tafadhali

    Kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata hiki cheti msaada wako unahitajika zaidi ya unavyofikiria. Kama ulishawi kuomba ukiwa nje ya nchi pia naomba unishauri nawezaje kukipata ingali nikiwa nje ya nje.
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada "You need to format the disk before use" Naokoje data zangu?

    Habarini wadau! Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
  18. JamiiForums Tanzania Naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video

    naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video, yaani inakula mb balaa kwenye setting nimeondoa play automatically ila ata ukizima data video nyingi unaweza kuzi play at least for 12 seconds je nifanye nini kuzuia hilo ,au nisione kabisa video yeyote note; Natumia pc
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma?

    Nimemeliza clinical medicine mwaka jana chuo kipo kanda ya ziwa, nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma.
  20. JamiiForums Tanzania AVN inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…