Msaada Tafadhari

Msaada Tafadhari

John120

Senior Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
138
Reaction score
282
Habari za muda huu ndg zangu!
Samahani sana wadau mwenye kufahamu upatikani wa hiki kifaa popote hapa nchini kwetu Tanzania.....naamini Tanzania ni pana na ina watu wengi kila kona
Jina la kifaa: round stainless heater/ ring heater/band heater

Samahani sana mwenyewe kujua naomba tuwasiliane:

johnmaneno20@protonmail.com
 

Attachments

  • IMG_20220822_185717.jpg
    IMG_20220822_185717.jpg
    38.6 KB · Views: 5
Lakini mkuu kama pale una uhakika na kweli zipo naomba kama inawezekana unisaidie kujua ni duka gani ( jina)
 
Lakini mkuu kama pale una uhakika na kweli zipo naomba kama inawezekana unisaidie kujua ni duka gani ( jina)
kuna maduka kibao pale, na ndiyo ni chimbo langu haswa kwa spare parts za umeme za kiwandani/nyumbani/etc

ukikosa pale, ndoto kupata sehemu nyingine,
 
Back
Top Bottom