Msaada kuhusu kampuni ya upimaji ardhi maarufu kama Ardhi Plan

hent

Member
Feb 28, 2013
24
9
Habari wana jamvi,

Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale.

Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye website yao bila mafanikio, simu zao hazipokelewi. Naomba msaada kwa yeyote anayejua ofisi za hii kampuni ilipo hapa Dar-es-salaam.

Natanguliza shukrani zangu.
 
mat[mention]Matola [/mention] ungemtumia private kuepusha usumbufu wa wananchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom