Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
465
842
Shikamoni wakubwa zangu wote

Nina binamu yangu kabahatika kachaguliwa kozi za bachelor of Education in electronic and electric engineering pale MUST pia KACHAGULIWA KOZI YA FORESTY Pale SUA... Nimekuja kuomba USHAURI mbele yenu kijana a confirm wap.. But yeye kama yeye yuko open minded kusoma kozi yoyote kati ya hizo

Mawazo yenu muhimu..
 
Kimsingi kachagua kozi mbili tofauti hazina uhusiano, sijui kwanini? Ila mimi kama Forester namshauri akasome Forestry SUA itamjenga sana.
 
Mpeni tu hiyo ada iwe mtaji afanye biashara. Kusoma ni kuongeza ku wimbi la graduates mtaani ambao wanakazi na kupiga mizinga kwa sisi ma bro ambao hatujasoma.

Mtu ana masters ila anapiga mizinga ya khaki (5000) wakati wengine ni leavers wa chekechea wana hela za kushanta.

Kusoma sio guarantee ya kutoboa. Mpeni mbishe na mtaji achakarike mapema.
 
DAH ukweli mchungu huu.. Tatizo ata Sisi tulioko kitaa taish kwa neema tu
 
Shikamoni wakubwa zangu wote

Nina binamu yangu kabahatika kachaguliwa kozi za bachelor of Education in electronic and electric engineering pale MUST pia KACHAGULIWA KOZI YA FORESTY Pale SUA... Nimekuja kuomba USHAURI mbele yenu kijana a confirm wap.. But yeye kama yeye yuko open minded kusoma kozi yoyote kati ya hizo

Mawazo yenu muhimu..
Naomba kukurekebisha Mwandish hiyo Education in Electronics and electric engineering bila shaka umeiandika vibaya si Education hiyo labda kama kuna course mbili umezimix kimakosa.
Ushauri: Aende MUST hiyo course ya Engineering ni nzuri sana tu usimpunje, Aachane na SUA pia aachane na education kama ipo hapo.
 
Inaitwa barchelor of technical education in electrical and electronics engineering.. Naona ni kozi mpya kabisa
 
Kaka vp hii!! Kozi ni nzuri au magumashi
Kwa upande wangu mkuu, cha kwanza ni kuwa na mapenzi na kozi husika, cha pili ni kuweka juhudi na cha tatu malengo. Ni kozi nzuri sana, kwani iko diversified sana, atajifunza misitu, nyuki, wanyamapori, kilimo biashara, uchumi, takwimu, surveying na mapping, GIS, na vitu vingine vingi sana tofauti na kozi zingine zinakuwa more specific. Kwa hiyo ni yeye tu kuamua kulitumia kila eneo atakalokutana nalo wakati wa kujifunza kwake.
 
Asante mkuu ntafanyia Kazi
 
Back
Top Bottom