Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,522
- 12,927
Wakuu Habari zenu
Naomba kuuliza hichi kitu mara moja, nimekutana nacho sehemu na nimeshindwa kuelewa ni kitu gani.
Kulikuepo na sehemu ya Date of Birth hiyo nimejaza, ichi kipengele cha Date of Birth Confirmation nimekwama, nime-google nimeshindwa.
Naomba masaada, wakuu