Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
Duuh tenaNi kitu kigumu labda watu wachukue pesa yako!.