Naombeni msaada kisheria, nawadai Airtel

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
7,416
14,184
Habari zenu wanajukwaa,

Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania.

Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop zao.
Sasa team leader aliyekuwepo hakunipa mktaba wa kujaza mpaka nikaondoka eneo nilikokuwepo maana nilikuwa na kibarua mpaka kikaisha nikaondoka.

Nikiomba kurudishiwa hela yangu napigwa danadana na huyo team leader. Niliwahi kuwaandikia email Airtel makao makuu, kama unavyojua hao ni kulindana mkiwa ofisi moja sikujibiwaga.

Ni hayo tu sina mengi najua tuna watalaamu wa hizi mambo. Naombeni msaada wa kisheria, kama receipts za malipo ya hiyo hela ninazo kila kitu, sema wao hawakunipa mktaba na hakuna hata walipoweka kumbukumbu kama nikipewa ivyo hii ishu ni ukweli.


Naombeni mwenye ujuzi na hizi mambo, tafadhali nisaidieni watanzania wenzangu.

Ni la kwangu ni hilo tu.
 
Andika barua kwenda airtel ukiambatanisha na nakala za malipo; ukihitaji kujengewa au kurudishia hela zako; sambamba na hilo kutana na meneja wao eneo husika umjulishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom