Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Habari zenu ndugu zangu,

Ukweli siko poa kiakili.

Kutokana na hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita Nikopeshe Microfinance.

Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa nilipe 4850 kwenye namba 0699890806 nikatuma then after few hours kweliiiii nikapewa fomu nikaijaza na kuirejesha.

Nikaambiwa nichague njia ya kupokea mkopo wangu nikajaza kila kitu nakuja kuhamaki naletewa tena fomu nyingine ya Kiapo pamoja na Wadhamini ambapo natakiwa nilipe 10250, nimelipa tangu asubuhi naona kimyaa.

Naomba kwa yeyote anaewajua hawa jamaa anitoe wasiwasi au anithibitishie kuwa nimetapeliwa nianze kulia.
View attachment 2347803View attachment 2347804View attachment 2347806View attachment 2347807
 
Screenshot_20220906-155325.png
 
Hivi huwa mtu unashindwaje kutambua kuwa unapigwa?

Kama mtu anakukopa anakufahamu ana na kwako anapajua bado anasumbuka kulipwa halafu eti upewe mkopo hivi hivi online tu.

Kweli watanzania tunapenda kutapeliwa
 
Hivi uwa mtu unashindwaje kutambua kuwa unapigwa?
Kama mtu anakukopa anakufahamu ana na kwako anapajua bado anasumbuka kulipwa halafu eti upewe mkopo hivi hivi online tu.
Kweli watanzania tunapenda kutapeliwa
Brother shida ndo tatizo ila acha nisubiri bado siamini
 
Back
Top Bottom