Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,413
1,243
Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain.

Hela ya vocha ipo
GREAT DISCOUNT

at 230,000/= for

1GB Hosting per year
TZ Domain Registration
Website Design
10 Email Accounts


The offer is for only 6 People and will last in 5 days.

OFFER KABAMBE


Kwa 230,000/= tu unapata

Tovuti ya kisasa, domain na hosting yake.
Unapata pia email za kampuni yako.
Offer hii itadumu kwa muda wa siku tano na ni kwa wale sita wa kwanza tu.

Baada ya hapo tutarudi kwenye bei zetu za kawaida.

NAOMBA PIA NISAIDIE KUSHARE NA WENGINE

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom