Nisome kozi Gani kati ya hizi nitakazozi orodhesha hapa chini?

thee kid

Member
May 13, 2019
64
48
Habarini wakuu, poleni na majukumu mbalimbali yanayowakabili.

Samahanini nimeandika Uzi huu kuomba ushauri nahitaji kwenda kuongeza elimu ya vitendo kidogo katika vyuo vya VETA infact kwa sasa hivi Mimi ni mhitimu wa shahada ya Manunuzi na ugavi kutoka chuo fulani hapa nchini.

Nilkuwa naombeni ushauri wenu nikasome kozi Gani kati ya hizi nitakazozi orodhesha hapa chini.

1.Electrical Installation (EL),
2.Motor Vehicle Mechanics
3.Welding and Metal Fabrication (WF),
4.Fitter Mechanics (FM)
5.Auto Electric (AE),
6.Auto Body Repair (ABR),

ASANTENI🙏
 
Hapo kozi ya kusoma ni namba 1 first priority.

Namba 5 second priority.

Namba 6 last priority.
 
Back
Top Bottom