msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni msaada kisheria, nawadai Airtel

    Habari zenu wanajukwaa, Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania. Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop zao. Sasa team leader aliyekuwepo hakunipa mktaba wa kujaza mpaka nikaondoka eneo nilikokuwepo maana...
  2. Naomba kujuzwa zana za ufundi selemala

    Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
  3. Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini

    Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
  4. Msaada juu ya masuala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini wakubwa heshima yenu Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
  5. Msaada juu ya maswala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
  6. Msaada: Dogo amepata chaguo la tatu Kidato cha 5. Je, mwisho kuripoti ni lini?

    Wakuu, Mtoto amechaguliwa third selection na TAMISEMI hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu Je, mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? Muda umeisha au bado nimpeleke? Naomba kujua niandae hela ya private tu. umofia.
  7. R

    Msaada: Wakuu msaada wa lift ya kwenda Dodoma Jumatatu

    Wakubwa zangu msaada hali tete Naomba msaada lift ya kwenda Dodoma naomba nichangie hata elfu 7. Ninaenda kwa lengo la usaili.
  8. Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  9. DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Habari Zenu Wakuu. Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
  10. Msaada: Jinsi ya kuset autoreply kwa wanaonipigia nikiwa sipatikani

    Habari wakuu Wiki ijayo natarajia kuwa mbali na network. Naomba msaada wa kuset autoreply message ili atayenipigia, aelekezwe kutumia whatsapp call au whatsapp text. Natumia infinix smart 6 Nawasilisha Chief-Mkwawa
  11. MSAADA: TIBA YA KELOID

    Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu...
  12. Msaada: Namna ya kupata work permit nchini Uingereza

    Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza. Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na...
  13. Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

    Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
  14. R

    Msaada: Anayejua namna ya kuomba mkopo anisaidie

    Kwa anayejua namna ya kuomba mkopo anisaidie. Najaribu ku create account inakataa. Naomba step by step namna ya kufungua akaunti na kuoma .
  15. Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati Tafadhali wandugu kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
  16. M

    Msaada jinsi ya kutumia logo remover

    Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
  17. MSAADA WANA BLOGGER KUWEKA MATANGAZO KATIKATI YA POST

    Msaada Wanablogger Wenzangu kwa Anayefahamu Jinsi ya kuseti Matangazo ya Adsense Katikati Ya Post
  18. Z

    Msaada: Jinsi ya kujiunga na wire transfer

    Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na wire transfer ili inisaidie kwenye biashara zangu.
  19. Drones zilizopewa Urusi kama msaada kutoka Iran zapata matatizo, udhulumaji ni laana

    Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata matatizo ya ghafla yasioweza kuelezeka, nawashangaa sana watu wenye dini yao wanavyopambana kumsaidia...
  20. Msaada: Jaribio la kubaka

    Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo. Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani. Kesho yake aliachiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…