Msaada kuhusu kwenda Nairobi

al-baajun

JF-Expert Member
Sep 11, 2015
278
203
Hamjambo wakuu?

Nataka kuenda Nairobi Kwa siku mbili, nahitaji kujua usafiri mzuri kutoka Dar, nauli na pale mpakani kinahitajika kitu Gani? Passport ninayo je, kuna kingine kinahitajika ili kuingia Kenya?

Je, maeneo Gani mazuri Nairobi ya kukaa Kwa budget ndogo, msaada?
 
Una pesa kiasi gani kwanza? Kama una hela za kueleweka njoo Lovington ule maisha.
 
chanjo mzee baba.., yellow fever, sijui kama covid ni lazima, by the way ID yako ina fanana na ya ticha wangu wa history
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom