msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

    Wakuu, Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
  2. Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

    Morning Tumeanza mahusiano hii week sasa lakini kashaomba hela mara tatu then leo ananiambia hvi, nimekosa cha kumjibu kabisa Ungekuwa wewe ungemjibuje.
  3. S

    Msaada: Visa ya Cyprus, Turkey au Holland

    Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland. Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania? Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
  4. Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake Ahsante
  5. Msaada accout yangu ya facebook imefungiwa

    Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
  6. D

    Simu yangu inabadilisha SMS kuwa MMS

    Habari zenu wana jamii Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala Natumia Samsung A02
  7. S

    Wana JamiiForums msaada kupata matokeo ya waliyochaguliwa VETA 2022/2023

    Wana jámiiforums naomba msaada kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga veta 2022/2023.
  8. Msaada: Anayeweza kuniunganisha na masoko ya mbao DSM bila dalali

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa. Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
  9. Msaada: Jinsi gani naweza update iPhone 8G iwe na IOS 16?

    Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update. Nachotaka kujua, Process ya updating inatumia GB ngapi? Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public? Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
  10. MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Wakuu Msaada. Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo. Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
  11. Kama kuna daktari humu, msaada tafadhali

    Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati mwingine mbele ya mdomo kwa ndani chini ya ulimi, wananicheki na kunipa dawa ya kupaka cream...
  12. Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  13. B

    MSAADA: Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya maeneo

    Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
  14. Mwanamke anajua anakunyima kitumbua, na anataka umpe pesa. Msaada tutani

    Ni mwanamke wa kihaya. Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu. Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan na kuhakikisha hanimalizi Kabisa. Maana anataka vitu vikubwa vikubwa gari nk
  15. N

    Msaada wa kisheria, mtalaka wangu hataki nione watoto

    Habari wana Jf Naomba kusaidiwa kisheria. Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto. Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya...
  16. Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?

    Ndugu zangu naomba kuuliza: 1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi? 2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili? ASANTENI SANA.
  17. MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

    Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran.
  18. Kwa anayeifahamu kampuni nzuri ya kuchapa vitabu kwa ubora wa hali ya juu!

    Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi ! Asanten
  19. R

    Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

    Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
  20. Msaada: Suzuki Grand Vitara (spea, mafuta?)

    Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…