Habari wakuu?
Mimi nipo mkoani Mtwara, nimefikiria kuanza biashara ya bucha ya mbuzi, changamoto ni upatikanaji wake! Na utaratibu wa kuanza hii biashara upoje! Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie! Namna ya kuwasafirisha, lakini vibali vyake, na mpaka kupata leseni! Naweza kuanza halafu...