msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ya udereva wana JF

    Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

    Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika. Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar, naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi?

    Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar es Salaam kupitia mpaka wa Tarakea! Biashara Ni ya Nguo! Naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi. Kibiashara na personal
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Wakuu kwema? Naomba msaada wa excell. Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI. Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama. Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila somo,jumla na kadhalika. Sheet 3 Nimeweka kwaajili ya rank,yaan aanze mwenye alama kubwa kwenda ndogo...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa password za Good Vision Smart TV 32

    Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee. TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui. Msaada kwa wajuzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la fibroids linaweza kusababisha kutoshika mimba?

    Je tatizo hili linaweza kusababisha mwanamke kutokushika mimba?
  7. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa huduma au msaada kwa kutokusalimia watu,

    nikiwa nimetokea zangu kigamboni nikafika ferry kutafuta magari ya gongo la mboto, sikuwa mzoefu sana yanaoopatikana, ikabidi nisogee kwenye daladala moja hivi iliyopaki ilikuwa ni mida ya mchana, ndani kulikuwa na dereva na kondakta wake, kufika nakauliza, eti gari za gongola mboto zinapaki...
  8. JamiiForums Tanzania Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

    Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada maumivu tumboni na pande zote kulia na kushoto kupelekea ganzi mikononi na miguuni

    Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi. Ni hivi, kwa muda sasa yapata miezi 3 nimekuwa niki sumbuliwa na tatizo la kupatwa na maumivu maeneo ya tumboni japo sijui...
  11. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 80 wafa wakikanyagana kugombea msaada wa Eid nchini Yemen

    Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
  12. JamiiForums Tanzania MSAADA: Natamani kuwa Tutorial assistant Nina GPA YA 4.1 lakini ajira portal inanikataa msaada

    Habari wadau Naamini hili jukwaa ni kubwa saana Na Lina wataaluma au wahusika wa ajira portal. Nina Ndugu yangu anaomba msaada hii ajira portal inamzingua kwanza kabisa amejaza tarifa zake zote na Ana 97% Ila Ina mgomea Taarifa binafsi yeye amemaliza chuo KIKUU na Ana GPA Ya 4.1 program yake...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa ufahamu juu ya kampuni ya kuuza magari ya gloauc ya nchini Japan

    Wakuu, Amani iwe nanyi nyote! Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku. Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: ajira portal

    Naomba kuelekezwa namna ya kutiki/ kuweka mshale wa declaration.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

    Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
  17. JamiiForums Tanzania G7 Waahidi kutoa msaada zaidi huku Ukraine wakijiandaa kuanza mashambulizi

    Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea. G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania China yaendelea kujitetea haijawahi kuwa na lengo la kutoa msaada wa sila Urusi

    China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi...... Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Kozi ya Business Administration with Education

    Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of Business Administration with Education huku masomo ya kufundishia yakiwa ni Bookeeping na Commerce . Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…