Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

Tumia telegram kwangu iko poa sana, japo si movie zite utapata, ila hapo kwenye torrent ndo penyewe, tumia Web hizi
1-Torrentgalaxy
2-Piratebay
3-1377x (Sijui kama bado iko hewani) hii.
na nyingine nyingi.
Pamoja mkuu ngoja nijaribu
 
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
Nasi tupate
 
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
Tumia Tea Tv app kama unatumia simu ya android
 
Tumia hizo website.
Goojara ni high quality na ina MB nyingi
Nkiri na Netnaija zina quality ya kawaida na MB chache
 
Tumia hizo website.
Goojara ni high quality na ina MB nyingi
Nkiri na Netnaija zina quality ya kawaida na MB chache
Mkuu msaada nimeingia Goojan lakini sioni ile option ya kudownload hapo nafanyaje mkuu?
 
Mkuu nimeingia naona mapichapicha tu
Ingia Goojara tafuta muvi unayoitaka halafu tap kwenye hiyo muvi
Screenshot_2023-04-22-12-20-27-267_com.mi.globalbrowser.jpg

Ikija hiyo muvi itap uanze kuplay
Screenshot_2023-04-22-12-19-00-136_com.mi.globalbrowser.jpg

Ikianza kuplay utaona option ya kudownload, iguse
Screenshot_2023-04-22-12-19-12-705_com.mi.globalbrowser.jpg
 
Tumia telegram kwangu iko poa sana, japo si movie zite utapata, ila hapo kwenye torrent ndo penyewe, tumia Web hizi
1-Torrentgalaxy
2-Piratebay
3-1377x (Sijui kama bado iko hewani) hii.
na nyingine nyingi.
Hapa torrent kuwa makini og link NI torrentgalaxy.*to na 1337x*to hii pirate Bay inahitaji umakini hasa kwa latest torrent(virus nje nje) ila za zamni fresh Mana Original owner Hawa ioperate Tena
 
Back
Top Bottom