MSAADA: Natamani kuwa Tutorial assistant Nina GPA YA 4.1 lakini ajira portal inanikataa msaada

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Habari wadau
Naamini hili jukwaa ni kubwa saana Na Lina wataaluma au wahusika wa ajira portal. Nina Ndugu yangu anaomba msaada hii ajira portal inamzingua kwanza kabisa amejaza tarifa zake zote na Ana 97% Ila Ina mgomea
Taarifa binafsi yeye amemaliza chuo KIKUU na Ana GPA Ya 4.1 program yake ni BAED ENGLISH NA HISTORY HAKU MAJOR DIPLOMA YAKE YA EDUCATION ANA GPA 3.3

SASA ANAPENDA KUWA TUTORIAL ASSISTANT VYUO VIKUU AU KATI ILA KILA AJIRA ZIKITOKA AKI APPLY INAKATAA
ANATAMANI KUFUNDISHA
1. COMMUNICATION SKILLS
2. ENGLISH LANGUAGE NA HISTORY
3. MASOMO YA EDUCATION,
MSAADA NAMNA YA KUJAZA ILI IWE INAKUBARI
NATANGULIZA SHUKRANI KWENU
 
Aisee...

Labda zile core subjects hazimatch na kozi anayoapply...

Ajitahidi kwenye skills, experience na CV kuwepo terms za kozi anayoapply...
 
Ok sawa katika mfumo wameweka kozi mbalimbali lakini BAED YA ENGLISH NA HISTORY HAIPO
Aisee...

Labda zile core subjects hazimatch na kozi anayoapply...

Ajitahidi kwenye skills, experience na CV kuwepo terms za kozi anayoapply...
 
Mwingine huyu....


Habari zenu waungwana wenzangu.

Nina takribani miaka mitatu sijaingia huku Ajira Portal, leo nimejaribu kuapply naambiwa application failed nicheki requirements. Wakiwa na maana kwamba sina sifa kwa hiyo nafasi iliyotangazwa, nimejaribu kama mara nne nafasi tofauti kote inagoma cha ajabu nafasi zote hizo sifa ya mwombaji wametaja moja tu ambayo ni Bachelor Degree tena na course yangu imetajwa.

Labda kuna mahali nakosea au kuna mabadiliko katika utumaji wa maombi. Naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom