Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
Inawezekana kupona kwanza anza kubadirisha mlo wako unaokula itaacha yenyewe, bawasiri ni matokea ya mfumo wa Chakula kua na itilafu sababu ni kutokula chakula au vyakula vywenye nyuzi nyuzi kwa wingi, ingawa sababu zake ni nyingi Ila kwanza kabisa ukitaka upone acha kabisa kula vyakula vya ngano mfano maandazi, chapati, nk chochote kilichopikwa kwa ngano kaa nacho mbali utaanza kupata nafuu
 
Back
Top Bottom