Msaada: Mtoto wa Form V kuhamia Benjamin Mkapa High School

lumumbanew

Member
Joined
Jan 18, 2026
Posts
39
Reaction score
88
Habarini wajuvi.
Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5.
Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe.
Natanguliza shukurani.
 
Andaa rushwa na sababu ya msingi nenda benjamin mkapa kwa mwalimu mkuu ongea nae akikubali kumpokea mtoto wako nenda kwa afisa elimu wa Songwe kuchukua uhamisho peleka B.Mkapa.
 
Asante sana mkuu ephen_ .
Barikiwa mkuu.
Kwa hiyo ni lazima niende Songwe au nipitie kwa afisa elimu wa Songwe?
Haiwezekani kumaliza kwa mkuu wa BM High School pekee?
Nipo mbali, inabidi nitafute namba za Mkuu wa shule niwasiliane naye kwanza kabla ya kufunga safari.
 
Navyojua mimi kama unamuhamisha shule ya serikali unampeleka serikali lazima upitie kwa afisa elimu.

Wasiliana na mkuu wa B.Mkapa yeye atakupa muongozo.
 
Habarini wajuvi.
Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5.
Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe.
Natanguliza shukurani.
Nenda Moja kwa moja Benjamin kwa mkuu wa shule,akisema nafasi ipo biashara imeisha,hakuna cha afisa elimu wala nani.Ila mkuu atataka hela ya dawati,jiandae,ukikosa Benjamin itakuwa basi una nuksi
 
Asante sana mkuu ephen_ .
Barikiwa mkuu.
Kwa hiyo ni lazima niende Songwe au nipitie kwa afisa elimu wa Songwe?
Haiwezekani kumaliza kwa mkuu wa BM High School pekee?
Nipo mbali, inabidi nitafute namba za Mkuu wa shule niwasiliane naye kwanza kabla ya kufunga safari.
Cheza na mkuu wa Benjamin Mkapa akikubali mtoto anahamishwa kwa mfumo Prem no utakachotakiwa kufanya kama utakubaliwa Benjamin ni kupata no ya Head Master wa kule ili awasiliane na mwenzake kumhamisha mtoto kwenye mfumo.Hakikisha kwanza unapata nafasi Benjamen
 
Back
Top Bottom